Ep - 26 - Kupiga Chabo & Mental Health

Kupiga chabo, kula deo, kupiga kideo, kuchungulia.(Voyeurism). Kama ni mtoto wa kiume ambae umekua hapa hapa nchini Tanzania, basi haya si maneno mageni na wengi sana wamekua wakiona hili ni jambo la kawaida la kufanya kwenye jamiio. Si jambo jema, si jambo la kujivunia LAKINI pia si jambo ambalo watu wanaliongelea.
Je unafahamu kua kuna uhusiano wa afya ya akili na tabia hii? Unafahamu kua kuna urahibu (Addiction) ambayo inaweza kutokana na hiki kitendo? Nini chanzo chake? Kinaweza kuathiri vipi afya yako ya akili?
Michael na Nadia wanajadili hili kwenye “episode” hii ya 26: Kupiga Chabo & Mental Health


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts