Ep 29 - Why men cheat?

We are back with a million dollar question, why do men cheat? Kwa walio wengi hili ni swali ambalo bado halijapatiwa jibu. Kwanini wanaume wanakosa uaminifu kwenye mahusiano? Je ni tabia? Ni mapokeo? Ni swala ambalo jamii halijaliongelea kwa undani? Je, lina suluhisho?
Michael Baruti pamoja na Nadia, wanazungumza na John (sio jina lake halisi) na kujaribu kuliangalia kwa kirefu hili swala.


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts