Ep - 25 - How Trauma Affected My Speech

Ally Abdallah, alimpoteza baba yake akiwa na umri wa miaka mitano. Baada ya hapo, maisha yake hayakua sawa tena. Ally alipata kigugumizi jambo ambalo lilimpelekea kua na ukuaji tofauti na watoto wengi wa umri wake. Akiwa shule ilimlazimu kuficha kua ana kigugumizi, akiwa nyumbani watu walikua wakimshurutisha kua ajitahidi kuongea vizuri. Unadhani kuishi hivi ni rahisi?
Kutana na Ally Abdallah, a comedian ambae anaamini kile anachosema ni muhimu zaidi ya jinsi anavyokisema, Kigugumizi hakijamrudisha nyuma wala kumzuia kuishi ndoto zake.


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts