Ep - 23 - Male Infertility

Kupata mtoto ni jambo la heri, kupata mtoto ni jambo la baraka. Binadamu walio wengi wanatamani sana kupata baraka hii ya kujaliwa mtoto LAKINI sio kila mtu ana uwezo huu wa kupata mtoto.
Wakati mara nyingi maongezo mengi yamekua yakielemea upande wa wanawake ambao hawawezi kupata Watoto, ukweli ni kwamba hata kwa wanaume kuna changamoto zake ila tu hua haziongelewi kiundani na kwa ukubwa wake.
Kwenye “Episode” ya leo, Michael na Nadia wanazungumza na Dr France Rwegoshora ambae ni Daktari bingwa mwandamizi wa magonjwa ya wanawake na uzazi na wanajadili swala la “Male Infertility”


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts