Ep - 22 - Life in the Public Eye

Una ndoto za kua maarufu nchini Tanzania? Una ndoto za kufahamika na kila mtu kujua jina lako, na sura yako kufahamika kila sehemu? Uko tayari kukabiliana na matokeo ya umaarufu wako? Unadhani Maisha ya watu maarufu ni rahisi na yenye furaha muda wote?
Episode hii imezungumza na Dr Hamis Kigwangalla ambae ni Waziri wa Maliasili na utalii nchini Tanzania kuhusu “Life in the Public Eye” au Maisha kwenye macho ya umma.


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts