Ep - 23 - Becoming Your Own Man

Hebu fikiria, mzazi wako anakupeleka shule binfasi, tena ya gharama kweli kweli kwa ajili ya elimu yako ya msingi. Unafanya vizuri, unachaguliwa kwenda shule ya Sekondari halafu ghafla baba anarudi nyumbani na kukwambia “Unajua kusoma na kuandika, inatosha. Silipii gharama yeyote ya wewe kuendelea na shule. Computer hii hapa, internet hii hapa, fanya unachoweza”
Hivi ndivyo ilivyokua kwa Mike Mushi, mmoja wa waanzilishi wa mtandao maarufu wa “Jamii Forum”. Msikilize wiki hii kwenye Men, Men, Men – The Podcast


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts