Ep 18 - Suicidal Thoughts

Kweli Maisha si lele mama, kweli Maisha yana changamoto zake nyimgi tu, na nin kweli kua muda mwingine hua tunazidiwa na ugumu wa Maisha mpaka kutamani tuondoke duniani. Umeshahwahi kufikiria kujitoa uhai wako? Nini kilikusukuma kufanya hivyo? Nini ulifanya ili kuondokana na mawazo hayo? Ulipata msaada wowote mahali popote? Vipi jamii inayotuzunguka?
Maswali ni mengi kuliko majibu, na inawezekana baadhi ya maswali yasitoe majibu sasa labda tutakuja kupata majibu yake siku za mbele, ila leo hii Michael Baruti na Nadia wameketi na Khalifa, ambae anazungumzia jinsi alivyowaza kujitoa uhai wake na kutaka kufupisha Maisha yake. Je, jamii ya Tanzania iko tayari kuzungumza kuhusu afya ya akili na mawazo ya kutaka kujiua?


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts