Ep 20 - Ujasiriliamali & Mental Health

ARE YOU MENTALLY STRONG TO BE AN ENTERPRENEUR?
Kwa namna moja au nyingine, watu wengi tunawatazama wafanyabiashara na wajasiriamali kama watu ambao wamefanikiwa na wanaishi kwa kupigania ndoto zao. Watu tulio wengi tunatamani kuishi na kufanya kama wanavyofanya wao, na wengine wanafanya ionekana kua ni rahisi kua mjasiriamali na mfanyabiashara nchini Tanzania, si ndio?
Well, ukiachana na maisha tunayoyaona kwa juu, unajua gharama za kua mjasiria mali nchini Tanzania kwa upande wa afya ya akili? Unaweza vipi kuzuia msukumo wa jamii, mtazamo wa familia huku ukipambana na urasimu wa mfumo wa kua mjasiriamali nchini Tanzania.
ARE YOU MENTALLY STRONG TO BE AN ENTERPRENEUR?
Michael na Nadia wanafanya mazungumzo na Jumanne Mtambalike CEO wa Sahara Ventures pamoja na Zahoro Muhaji, CEO wa Tanzania Startup Association kuhusu ujasiriamali and Mental Health in Tanzania


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts