Ep 35 - Three Months Paternity Leave

Miezi mitatu ya likizo ya uzazi kwa mwanaume. Inaonekana kama kitu cha ajabu sana hata kukizungumzia, uongo au kweli?
Can you imagine a man, a Tanzanian man to be precise taking three months paternity leave? Well, kama hauamini basi fahamu kuwa yupo mtu aliyefanya hivyo, na muda huu ulibadilisha kabisa maisha yake na mtazamo wake kwa ujumla juu ya uzazi na malezi kwa ujumla.
Lakini pia tunazungumzia kwanini wanaume walio wengi hupata changamoto kubwa pale wanapopata watoto wachanga na namna gani jamii inayotuzunguka (ndugu na marafiki) inaweza kuwa na nafasi kubwa sana ya kukufanya utumie muda mwingi zaidi na familia yako pale unapobahatika kupata mtoto mchanga ili kusaidia kujenga familia bora zaidi.


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts