Ep 34 - To New Hobbies and Trying New Things

Hii ni kwa ajili ya kujaribu kufanya vitu vipya, kwa ajili ya kuwa tofauti na zaidi ya sote, ni kwa ajili ya mabadiliko ya afya ya akili ya Mwanaume wa kitanzania
Binadamu wengi sana hua tunaridhika na yale tunayoyajua na yale ambayo tumeyazoea. Na mara nyingi huwa tuna hofu kubwa sana ya kujaribu mambo maya aida kwa sababu ya mazoea au kwa kuhofia matokeo ya lile jambo. Lakini, tutawezaje kuwa watu bora na tutawezaje kubadilika kama hatutaki kujaribu mambo mapya?
Danny pamoja na Patrick wameamua kuwa tofauti, kwa kufanya vitu ambavyo vina faida kwao na kwa Afya ya akili zao. Funzo kubwa hapa ni kwamba, hakuna ubaya kwenye kufanya vitu tofauti, na vinaweza kukuletea matokeo bora sana kwenye maisha yako.
Hii ni kwa ajili ya kujaribu kufanya vitu vipya, kwa ajili ya kuwa tofauti na zaidi ya sote, ni kwa ajili ya mabadiliko ya afya ya akili ya Mwanaume wa kitanzania

Share this podcast

Continue Listening

Similar Podcasts