Ep 33 - Blended Family, Fatherhood & Therapy

Moja kati ya mambo ambayo yapo kwenye jamii zetu ila hayazungumziwi sana ni namna ya kuweza kuwa baba bora na mume bora pale ambapo unaishi katika familia iliyochanganyika (Blended Family).
Lakini ni namna gani unaweza kufikia hilo lengo pale ambapo kuna zaidi ya baba mmoja kwenye familia, zaidi ya mama mmoja, zaidi ya bibi na babu mmoja kwa kila upande na zaidi ya mtoto mmoja ambar yupo katikati ya haya yote?
Michael na Nadia wameingia ndani na kulijadili hili kwa kina na ndugu Reuben Ndege anaefahamika zaidi kama Ncha Kalih


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts