Ep 32 - Unpacking The Man Box

“The man box” Hili ni box ambalo sio rasmi, na limetengenezwa na Jamii linalotumika kuchanganua tabia za mwanaume. Kwenye box hili kuna mazuri kuhusu wanaume, lakini pia kuna vitu ambavyo sio sahihi kuendelea kuvishikilia kwa mwanaume anaetaka kubadilika na anaetaka kuwa bora.
Lakini, nani alianzisha “box” hili? Mambo gani mazuri yanayopatikana katika hili box? Yepi ambayo si mazuri na hayafai? Na pia, namna gani wanaume tunaweza kuanza kuchambua na kutoa yasiyofaa kutoka kwenye hili box?
Ungana na Michael, Nadia pamoja na Sadick Ali ambapo kwa wiki hii wameamua kulifungua hili box ili Jamii yote ipate kuona yaliyo ndani yake.


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts