Ep 30 - Lessons From My Father

Vuta picha, wewe ni kijana mdogo wa kiume, una miaka 7, unaishi na baba na mama na wadogo zako. Baba ni mwanasheria anayechipukia kwa kasi sana katika Serikali ya nchi changa ya Tanzania, mnaishi kwenye nyumba zuri ya hadhi ya juu na kila kitu kipo sawa.
Then linatokea janga kubwa sana katika familia, unapoteza wadogo zako wote, mama anapelekwa jela na wewe unalala hospitali kwa miezi kadhaa ukiwa haujitambui. Pindi tu unapopata fahamu, baba anakuchukua unaenda kuishi nae nje ya nchi mkiwa mpo wawili tu, wewe na yeye.
Hii ni story ya Taji Liundi. Anazungumzia namna gani milima na mabonde aliyovuka na baba yake. Na namna gani experience hii imechangia kumfanya awe namna alivyo sasa hivi.


Share this podcast

Continue Listening


Similar Podcasts